Mimi
ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa
sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa
linanitokea usiku wa manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii
imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika
hiyo hali huwa naridhika kabisa yaaani acha tu kiasi kwamba wavulana
siwapendi hata kidogo na wala sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia
kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma
naishia kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji kuolewa ila siwapendi
wavulana nawachukia sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na
hili jina mahaba litoke ?
Facebook Comments Plugin Enhanced by Dira la mahusiano FB page