NIMEPENDWA KIMAPENZI NA DADA NA MDOGO WAKE, WOTE WANANIPENDA SANA... USHAURI JAMANI NIFANYEJE..?

 

Mimi nilikuwa na mpenzi wangu kwa miaka 6 lakini ha2jawah sex sa7bu yeye alikuwa anakaa mkoa mwingne na akija dar kwa dada yake anabanwa sana so 2kawa ha2na muda wa kusex lakini 2likuwa na ndoto za kuoana na alikuwa ananiambia yeye bikra.

Lakini mwezi wa 10 mwaka huu dada yake akaniambia kuwa mdogo wangu ni malaya ni ana wanaume wengi hata cm uliyo m2mia kahonga na bikra hamna, ikabidi nimbane dem wangu akakubari yote akasema nisamehe nitaachana nao wotee nakupenda wewe.

Nikamsamehe imepita week dada yake ananiambia leo tena amemuona na wanaume wake, sasa mimi nikamuacha nikawa nawasiliana na dada yake sana kwakweli mawasiliano yakanoga c 2kajikuta 2napendana 2katongozana dada yake anasema yeye bikra na anakuja dar mwez wa 12 lakini dada mtoto wa baba mkubwa na mdogo sasa 2napendana lakini mdogo wake amejua na wana bifu...
NAOMBA USHAURI WENU WADAU...
CHANGIA MTAZAMO NA MAONI YAKO JUU YA HII MADA..
Facebook Comments Plugin Enhanced by Dira la mahusiano FB page