Baadhi huofia kuwashwa na sabuni na wengine hudhani
utokwaji wa utoko ni kawaida hivyo hawana budi kuacha kama ilivyo na
badala yake hutumia “pads” ndogo au “wipes” zenye manukato ili kuzuia
harufu/shombo ya uke na vilevile kuzuia uchafukwaji wa “vyupi” vyao.
Huitaji kuficha(Bali punguza) harufu ya asilia ya uke kwa
kutumia bidhaa zenye mahukato hasa ukiwa na mpenzi wako kwani hiyo
harufu ndio uanamke wenyewe na ikikutana na ile ya kiume ndio raha ya
kufanya mapenzi na ikiwa mpenzi wako ni “aliyejaaliwa” atakuwa akiipenda
harufu hiyo na hubaki akilini mwake hali inayoweza kumfanya akupende
zaidi au kutoweza kufanya ngono na mtu mwingine bali wewe.
(dragondreamx.blogspot.com)
Hujawahi kusikia wanaume wanashindwa kutoka (date) wanawake wengine baada ya wapenzi wao kufariki dunia? Au mwanaume kushindwa kuendelea na maisha yake ya kimapenzi bila wewe na matokeo yake hata mkiachana lazima atarudi tu kwako….sababu moja wapo ni hiyo.

Kujiswafi ili kupunguza ukali wa shombo/harufu ya uanamke:
Utoko hujikusanya ikiwa mwili umetulia (usiku) hivyo hakikisha unajisafisha kila asubuhi kabla hujaanza kuoga.
Kwa wale tunaoishi Bongo wengi tunatumia maji ambayo usalama wake ni wa utata, sasa ili kuepuka maambukizo hakikisha maji ya kujisafishia sehemu zako za siri yamechemshwa vizuri. Unaweza kutenganisha maji ya kuoga na ya kusafishia uke ukitaka.

*Kabla hujaguza uke wako hakikisha umesafisha mikono yako
vizuri kwa sabuni (ukiweza tumia sabuni yenye dawa) na wakati huo huo
pitisha sabuni juu ya uke wako ili kuondoa vijidudu kama vilikuwepo,
safisha mahali hapo(juu ya uke kwa maji na hakikisha hakuna sabuni).
*Kisha kwa kutumia kidole chako cha kati, ingiza taratibu
pale ambapo uume unaingia, kwa kuanzia huitaji kwenda mbali sana.
Zunguusa kidole hicho taratibu huku ukijimwagia maji kwa kutumia mkono
wa pili, kisha kitoe (kitatoka na weupe mzito) safisha kidole na maji
yako.
*Rudia tena na sasa kiingize ndani zaidi na ukizunguushe
tena (huku ukijimwagia maji) na kukitoa utaona “utoko” mwingi zaidi
kidoleni, rudia hatua hizo mpaka uhakikishe kidole kinatoka bila
weupe(utoko) na utahisi hali ya usafi, hakuna utelezi.
UTOKO huwa na madha kama
>kukufanya uwe unatoa harufu/shombo kali ukeni haswa wakati wa kungonoka
>utoko ukibaki ukeni haswa ule wa usiku huwa una tanua kuta za misuli ya uke kwa hiyo utajikuta uke wako unakuwa karai/beseni
Ni muhimu kujiswafi

Unapojimwagia maji ukeni huku kidole kiko ndani maji
huingia pia ukeni na ndio maana mwishoni kabisa utahisi umesafishika
vema kabisa na utoko huo hautotoka tena siku nzima na uke wako hautokuwa
na shombo kali kama ambavyo siku zote ambazo ulikuwa hujisafishi.
Kwa wale wanaotumia “bath” au “shower” unafanya kama
nilivyoeleza ila tofauti ni kuwa maji yataingia vizuri zaidi ikiwa
unapata “bath” hivyo hakikisha “bath” sio ya kuchangia, maji ni
salama(safi), usiweke sabuni (bath cream) au bidhaa yoyote yenye
kemikali kwenye “bath” yako ili kuepuka matatizo ya kiafya na maambukizo
mengine.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Dira la mahusiano FB page