Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika
kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali
ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-
1-Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao la lake la
kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi,
Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima
atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake
ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili
wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku
unamshika-mshika na kadhalika.
2-Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoana (low sex
drive/libido) ni wazi kuwa hamjuani hivyo
yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza
ksiha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game"
mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi mwezi ujao. Kama
ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa "interested"
kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia
kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.
3-Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama ulivyosema
kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana na sio
kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho >>( Kuna
wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya
kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe
ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au
msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA
mambo mengine!Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi
fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya.Hii hasa kama unacheza
mkao wa kimishenari ).<<
4-Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya
Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka
(baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa
hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la
kwanza.
5-Kuchoka au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali
hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa
haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya
kwenda kulala/pumzika.
Condom huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa
inashauriwa kubadili au kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili
hiyo. Makampuni mengi ya bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa
ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia
Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea
mwanamke raha ya tendo.
Condoms hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya
wewe kumfanya mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha
maumivu.Ili ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja
umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka
ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo
yatakuwa bomba kabisa.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Dira la mahusiano FB page