Wasichana hakuna asiya vaa Nguo za ndani, Baadhi wakivaa zisizo wabana na asilimia kubwa wakivaa zinazo wabana ili kuonekana wana mvuto mzuri (Sex appeal). Lakini laiti wangejuwa kuwa nguo zinazo wabana husababisha madhara makubwa ya kiafya kama ilivyochunguzwa na baadhi ya watafiti wa kiafya kwakuleta madhara makubwa.
Hizi ndizo sababu za kwanini hutakiwi
kuvaa nguo za kubana. Kwanza nguo za kubana husababisha usumbufu kwenye
lymphatic system, Ambapo hujihusisha suala la kutoa takamwili. Hili
husababisha taka na sumu kushindwa kutoka mwilini.
Kwa wasichana wanao vaa nguo zinazo
wabana hasa kwa nguo za ndani, hili hupelekea maambukizi ya magojwa kama
yeast infection au (Magonjwa ya kibofu cha mkojo) urinary tract
infection. Kwa kuvaa nguo za ndani za kubana hii hupelekea uke "Kuma"
kuto pumuwa vizuri nanibora kuchaguwa nguo ya ndani ambayo haita
kubana.
Ili kusaidia afya ya sehemu za siri,
Madaktari huwa wanapendekeza kuvaa nguo za ndani ambazo zitaruhusu kwa
mwanamke hewa iingie na sio itakayokuwa inabana. Pia nguo za ndani za
kubana haziruhusu kukauka vizuri kwa jasho hasa pale unapokuwa
unatembea, unafanya kazi au upo sehemu ya joto, Na hili linaweza
kukupelekea kupata magojwa ya ngozi kwenye sehemu za kuzunguka uke, na
pia backteria na blistering karibu na pant seams.
Hataivyo pale unapokuwa umevaa nguo za
ndani za kubana, Na ukiwa unafanya shughuli kama kuendesha baskeli nk,
Inaweza kukusababishia michubuko kwenye mapaja na wakati mwingine maeneo
jirani na uke. Lakini pia, Madhara mengine yanayoletwa na nguo za ndani
za kubana ni magonjwa yanayoletwa na material inayotumika akutengenezea
nguo hizo kwenye ngozi. Wakati mwingine hupelekea maeneo ya nje ya uke
kuwasha na kupelekea michubuko na vipele.
Maeneo haya ya irritated yanawea
kudhuriwa na magojwa na hasa kupelekea magonjwa ya sehemu za uke na njia
ya mkojo. Kwamujibu wa health.com, Inasemekana sio tu kuvaa nguo za
ndani zinazobana inaweza kukupelekea kupata magojwa ya uke na njia ya
mkojo, Bali hata kuvaa hizo nguo za ndani zinazobana inaweza kukuletea
magojwa kama hemorrhoids napia inaweza leta lacerations anal.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Dira la mahusiano FB page